Pran

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Pran (12 Februari, 1920 - 12 Julai, 2013) alikuwa mwigizaji wa filamu na mchekeshaji kutoka nchini Uhindi. Jina lake la kuzaliwa ni Pran Krishan Sikand.

Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Pran kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

Viungo vya Nje[hariri | hariri chanzo]