Pistili

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Maua ya Hippeastrum yakionesha stameni, staili na stigma.
Stigma pamoja na staili za ua Hippeastrum.

Pistili ni sehemu ya kike ya ua ambayo huwa na sehemu kuu tatu ambazo ni: stigma, staili pamoja na ovari ambazo ndani yake hupatikana chembekike za mmea.

Eneo hili la ua ndilo linalofanya kazi ya kupokea mbelewele kutoka katika sehmu ya kiume ya mmea ambayo ni chavulio ambazo hupokewa katika stigma. Staili hutumika katika kusafirishia mbelewele hizo ili kuzifikisha katika ovari ambamo utungishaji hutokea.

Makala hii kuhusu mambo ya biolojia bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Pistili kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.