Philipp Lenard

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Philipp Lenard (mnamo 1905)

Philipp Eduard Anton Lenard (7 Juni 186220 Mei 1947) alikuwa mwanafizikia kutoka nchi ya Ujerumani. Alitayarisha misingi ya nadharia za elektroni. Pia aliipinga nadharia ya Albert Einstein (Relativity Theory). Mwaka wa 1905 alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia.


Makala hii kuhusu mwanasayansi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Philipp Lenard kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.