Peter Taylor (mwandishi)

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Peter Taylor (kulia) mnamo 1941, pamoja na Robert Lowell na Jean Stafford

Peter Matthew Hillsman Taylor (8 Januari 19172 Novemba 1994) alikuwa mwandishi kutoka nchi ya Marekani. Mwaka wa 1987, alipokea Tuzo ya Pulitzer ya Bunilizi kwa riwaya yake A Summons to Memphis.

Makala hii kuhusu mwandishi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Peter Taylor (mwandishi) kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.