Paul Muldoon

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Paul Muldoon

Paul Muldoon (amezaliwa 20 Juni 1951) ni mshairi kutoka nchi ya Ueire. Alihamia nchi ya Marekani mwaka wa 1987. Mwaka wa 2003 alipokea Tuzo ya Pulitzer ya Ushairi.

Viungo vya Nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mwandishi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Paul Muldoon kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.