Patakatifu

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Patakatifu ni mahali panapoheshimiwa na waumini wa dini fulani kwa sababu mbalimbali, kama vile umuhimu wake katika historia ya dini hiyo.

Mara nyingi mahali hapo watu wanakwenda kwa hija.

Katika Ukristo ni patakatifu hasa pale Yesu Kristo anaposadikiwa kuwa alikufa akafufuka mjini Yerusalemu.

Katika Uislamu ni patakatifu hasa Kaaba mjini Maka.