Papa Stefano III

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Papa Stefano III.

Papa Stefano III (72024 Januari 772) alikuwa Papa kuanzia tarehe 1/7 Agosti 768 hadi kifo chake[1]. Alitokea Sicilia, Italia[2].

Jina la baba yake lilikuwa Olivus.

Alimfuata Papa Paulo I akafuatwa na Papa Adriano I.

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  • Partner, Peter, The Lands of St. Peter: The Papal State in the Middle Ages and the Early Renaissance (1972)
  • Mann, Horace K., The Lives of the Popes in the Early Middle Ages, Vol. I: The Popes Under the Lombard Rule, Part 2, 657-795 (1903)
  • DeCormenin, Louis Marie; Gihon, James L., A Complete History of the Popes of Rome, from Saint Peter, the First Bishop to Pius the Ninth (1857)

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Wikimedia Commons ina media kuhusu:
Makala hii kuhusu Papa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Papa Stefano III kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.