Papa Marinus II

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Papa Marinus II.

Papa Marinus II alikuwa Papa kuanzia tarehe 30 Oktoba au Novemba 942 hadi kifo chake mnamo Mei 946[1]. Alitokea Roma, Lazio, Italia[2].

Jina lake la kuzaliwa halijulikani.

Alimfuata Papa Stefano VIII akafuatwa na Papa Agapeto II.

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu Papa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Papa Marinus II kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.