Nias

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru


Picha ya ramani kuonesha Kisiwa cha Nias

Nias ni kisiwa cha Indonesia. Kiko upande wa magharibi wa kisiwa cha Sumatra. Eneo la kisiwa ni 5121 km². Mji mkubwa kabisa kisiwani huitwa Gunungsitoli. Mwaka wa 2014 idadi ya watu kisiwani imehesabiwa kuwa 788,132. Watu wakaao kisiwani kwa Nias huongea lugha ya Kinias.

Makala hii kuhusu eneo fulani bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu eneo hilo kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Je, unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.


Usitaje majina ya madiwani na viongozi au maafisa wengine wa sasa maana wanabadilika haraka mno.