Nagorno-Karabakh

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Uenezi wa utawala wa Waarmenia katika vita vya Nagorno-Karabakh, 1989-1994.

Nagorno-Karabakh (kwa Kirusi: Нагорный Карабах, yaani Karabakh ya mlimani; kwa Kiarmenia: Լեռնային Ղարաբաղ; kwa Kiazeri: Dağlıq Qarabağ; kwa jina lingine: Artsakh (Արցախ) ni eneo la milima na misitu lisilofikia bahari ndani ya mkoa wa Karabakh, kusini mwa Kaukazi.

Nagorno-Karabakh inagombaniwa: nchi nyingi zinaitambua kuwa sehemu ya Azerbaijan,[1] lakini kwa kiasi kikubwa inaunda Jamhuri ya Artsakh ambayo de facto inajitegemea kwa kuongozwa na wakazi wake wengi wenye asili ya Armenia tangu mwaka 1988.

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

  1. "General Assembly adopts resolution reaffirming territorial integrity of Azerbaijan, demanding withdrawal of all Armenian forces". United Nations. 14 March 2008. Iliwekwa mnamo 30 Aug 2015.  Check date values in: |date=, |accessdate= (help)
Makala hii kuhusu maeneo ya Asia bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Nagorno-Karabakh kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.