Muziki wa video

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Muziki wa video (pia: muziki wa kuona au video ya muziki) ni aina ya maudhui ya muziki katika taswira mjongeo. Video nyingi za muziki huonyesha msanii akiwa anaimba wimbo aliorekodi au akionekana akiinuainua mdomo kupitia kwenye skrini ya runinga.

Mitandao ya TV na izaya maarufu zinazopiga sana muziki wa video ni pamoja na MTV, VH1, BET, na CMT.

Viungo vya Nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya muziki bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Muziki wa video kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.