Morihei Ueshiba

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Morihei Ueshiba mwaka 1938.

Morihei Ueshiba (14 Desemba 188326 Aprili 1969) [1] anajulikana zaidi kama mgunduzi wa mchezo wa mapigano wa kujihami wa Aikido [2] uliokuwa ukijulikana mwanzo kama Aikibudo ama Aikinomichi

Alizaliwa katika kijiji cha Nishinotani nchini Japani akiwa ni mtoto pekee wa kiume katika familia ya watoto wanne ya Yoroku Ueshiba.

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

  1. "Aikido History". aikidohistory.com. Iliwekwa mnamo 2020-02-26. 
  2. "Aikido". Meikyokai Aikido (kwa en-US). Iliwekwa mnamo 2020-02-26.