Mkoani

Majiranukta: 5°22′S 39°39′E / 5.367°S 39.650°E / -5.367; 39.650
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Ramani ya mji wa Mkoani (Pemba)
Bandari ya Mkoani

Mkoani ni mji ulioko kwenye kisiwa cha Pemba, Tanzania, wenye postikodi namba 74100, na ni makao makuu ya Wilaya ya Mkoani.

Mji upo upande wa magharibi wa Pemba ukitazama upanda wa Tanzania bara.

Kuna bandari muhimu zaidi ya Pemba ambako feri nyingi zinafika kutoka Unguja au kutoka Tanzania bara. [1]

Kuna hospitali kubwa ya Abdulla Mzee.

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. Fitzpatrick, Mary (2009). East Africa. Footscray, Victoria, Australia: Lonely Planet. uk. 144. ISBN 978-1-74104-769-1. 

5°22′S 39°39′E / 5.367°S 39.650°E / -5.367; 39.650