Mkoa wa Castellón

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru








Mkoa wa Castellón
Mahali pa Castellón katika Hispania
Mahali pa Castellón katika Hispania
Mahali pa Castellón katika Hispania

Bendera

Nembo
Nchi Bendera ya Hispania Hispania
Eneo Comunidad Valenciana
Mji mkuu Castellón de la Plana
Eneo
 - Jumla 6,632 km²
Tovuti:  http://www.dipcas.es/

Castellón ni moja ya mikoa 52 ya kujitawala ya Hispania. Idadi ya wakazi wake ni takriban 600,000. Mji wake mkuu ni Castellón de la Plana.

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Wikimedia Commons ina media kuhusu:
Makala hii kuhusu maeneo ya Hispania bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Mkoa wa Castellón kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.