Mitri wa Aix

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Sanamu yake katika kanisa kuu la Aix.

Mitri wa Aix (Thesalonike, Ugiriki, 433 - Aix-en-Provence, leo nchini Ufaransa, 466) alikuwa Mkristo ambaye mwanzoni aliuawa kama mchawi kwa sababu ya muujiza aliofanya[1][2].

Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu.

Sikukuu yake huadimishwa tarehe 13 Novemba[3].

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.