Misuli ya moyo

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Misuli ya moyo

Misuli ya moyo ni misuli ambayo inapatikana kwenye kuta za moyo ambapo misuli hiyo ni laini na pia huzuia kupasuka kwa moyo.

Kuna sehemu tatu za misuli ya moyo ambayo ni: epikardiamu, myokardiamu na endokardiamu.

Makala hii kuhusu mambo ya anatomia bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Misuli ya moyo kama matumizi yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.