Michael Essien

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
714 × 1,047 pixels. Original file ‎(714 × 1,047 pixels, file size: 319 KB, MIME type: image/jpeg)
Essien in 2006

Michael Kojo Essien (alizaliwa tarehe 3 Desemba 1982) ni mchezaji wa soka wa Ghana. Amekuwa pia akichezea timu ya taifa ya Ghana zaidi ya mara 50.

Mpaka sasa amechezea timu [[Saba ] yake ya kucheza mpira. Timu hizo ni:

  1. Bastia
  2. Lyon
  3. Chelsea F.C.
  4. Real Madrid
  5. Milan
  6. Panathinaikos
  7. Persib Bandung

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

WikiMedia Commons
WikiMedia Commons
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Michael Essien kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.