Mecklenburg-Pomerini Magharibi

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Schloss Schwerin
Mecklenburg & Pomerania
Mahali pa Mecklenburg-Pomerini katika Ujerumani
bendera ya Mecklenburg-Pomerini

Mecklenburg-Pomerini Magharibi (Kijerumani: Mecklenburg-Vorpommern) ni moja ya majimbo 16 ya kujitawala ya Ujerumani lenye wakazi milioni 1,652 kwenye eneo la 23.180 km². Mji mkuu ni Schwerin. Waziri mkuu ni Erwin Sellering (SPD).

Jina[hariri | hariri chanzo]

Jimbo hili linaunganisha eneo la Mecklenburg ya kihistoria na sehemu za jimbo la Kijerumani la awali yaani Pomerini zilizobaki upande wa Ujerumani baada ya Vita Kuu ya Pili ya Dunia ambako maeneo makubwa katika mashariki yalitengwa na Ujerumani na kupelekwa Poland.

Jiografia[hariri | hariri chanzo]

Mecklenburg-Pomerini Magharibi imepakana na majimbo ya Ujerumani ya Schleswig-Holstein, Saksonia Chini na Brandenburg.

Miji mikubwa ni pamoja na Schwerin na Rostock.

Elbe na Oder ni mito muhimu zaidi.

Picha za Mecklenburg-Pomerini[hariri | hariri chanzo]

Tovuti za Nje[hariri | hariri chanzo]

Wikimedia Commons ina media kuhusu:
Makala hii kuhusu maeneo ya Ujerumani bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Mecklenburg-Pomerini Magharibi kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.


 
Majimbo ya Ujerumani
Baden-WürttembergBavaria (Bayern)BerlinBrandenburgBremenHamburgHesse (Hessen)Mecklenburg-Pomerini Magharibi (Mecklenburg-Vorpommern)Saksonia Chini (Niedersachsen)Rhine Kaskazini-Westfalia (Nordrhein-Westfalen)Rhine-Palatino (Rheinland-Pfalz)Saar (Saarland)Saksonia (Sachsen)Saksonia-Anhalt (Sachsen-Anhalt)Schleswig-HolsteinThuringia (Thüringen)