Marya Zaturenska

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Faili:Marya Zaturenska.jpg
Marya Zaturenska

Marya Zaturenska (12 Septemba 190219 Januari 1982) alikuwa mshairi wa kike kutoka nchi ya Marekani. Mwaka wa 1938 alipokea Tuzo ya Pulitzer ya Ushairi.

Makala hii kuhusu mwandishi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Marya Zaturenska kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.