Lugha za Kikaukazi ya Kaskazini

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Lugha za Kikaukazi ya Kaskazini ni familia ya lugha ambazo huzungumzwa katika eneo la Kaukazi hasa nchini Urusi. Idadi ya lugha katika familia hiyo ni takriban 35.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Lugha za Kikaukazi ya Kaskazini kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.