Liu Gang

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Liu Gang (amezaliwa 30 Januari 1961) ni mwanahisabati, mwanafizikia, na mwanasayansi wa kompyuta kutoka nchi ya China.

Ni pia kiongozi wa harakati ya kuleta demokrasia nchini China.

Baada ya kupingwa, mwaka 1996 alihamia Marekani. Liu wamemaliza Chuo Kikuu cha Columbia, hasa alichunguza linear programu.


Makala hii kuhusu mwanasayansi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Liu Gang kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.