Kumi na nane

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kumi na nane ni namba inayoandikwa 18 kwa tarakimu za kawaida na XVIII kwa zile za Kirumi.

Ni namba asilia inayofuata 17 na kutangulia 19.

Vigawo vyake vya namba tasa ni: 2 x 3 x 3.

18 ni namba ya pekee inayolingana na jumla ya tarakimu zake mara mbili (1+8=9 * 2 = 18).

Katika nchi nyingi za dunia 18 ni umri wa kuhesabiwa mtu mzima kisheria pamoja na haki ya kupiga kura wakati wa uchaguzi pamoja na kujiamulia maisha.

Matumizi[hariri | hariri chanzo]

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya hisabati bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kumi na nane kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.