Korkuteli

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Mtazamo wa mashariki wa mji kutoka bwawani.
Shule ya Koran huko Korkuteli, iliyojengwa mwanzoni mwa karne ya 13 chini ya Sultan Kai Kobad I.
Tarihi Hamam, bafu kutoka kipindi cha Seljuq, karne ya 13.

Korkuteli ni mji na wilaya katika Mkoa wa Antalya kwenye kanda ya Mediteranea nchini Uturuki.

Makala hii kuhusu maeneo ya Uturuki bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Korkuteli kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.