Kixibe

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kixibe ni lugha ya Kitungusi nchini Uchina inayozungumzwa na Waxibe. Mwaka wa 2000 idadi ya wasemaji wa Kixibe imehesabiwa kuwa watu 30,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kixibe iko katika kundi la Kitungusi ya Kusini. Inafanana sana na Kimanchu.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kixibe kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.