Kituva

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kituva ni lugha ya Kiturki nchini Urusi, Mongolia na Uchina inayozungumzwa na Watuva. Mwaka wa 2010 idadi ya wasemaji wa Kituva nchini Urusi imehesabiwa kuwa watu 254,000. Pia kuna wasemaji 27,000 nchini Mongolia (1993) na 2400 nchini Uchina (1999). Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kituva iko katika kundi la Kiturki ya Kaskazini.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kituva kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.