Kituamotu

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kituamotu (au Kipa'umotu) ni lugha ya Kiaustronesia nchini Polinesia ya Kifaransa inayozungumzwa na Watuamotu, hasa kwenye visiwa vya Tuamotu na Tahiti. Mwaka wa 2007 idadi ya wasemaji wa Kituamotu imehesabiwa kuwa watu 4000 katika kisiwa cha Tuamotu na wasemaji 2000 katika kisiwa cha Tahiti. Watuamotu wengi wanatumia lugha ya Kitahiti badala ya lugha yao ya asili, yaani lugha ya Kituamotu iko hatarini mwa kutoweka kabisa. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kituamotu iko katika kundi la Kioseaniki.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kituamotu kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.