Kitelugu

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kitelugu ni lugha ya Kidravidi nchini Uhindi inayozungumzwa na Watelugu. Mwaka wa 2001 idadi ya wasemaji wa Kitelugu nchini Uhindi imehesabiwa kuwa watu sabini na tatu milioni na laki nane. Pia kuna wasemaji 600 nchini Singapuri. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kitelugu iko katika kundi lake lenyewe la Kitelugu.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kitelugu kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.