Kipeperushi

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Vipeperushi vinavyogawanywa mjini New York.

Kipeperushi (kutoka kitenzi "kupeperusha"; kwa Kiingereza: flyer) ni aina ya tangazo la karatasi linalosambazwa barabarani au ni aina ya maelezo yanayoambatanishwa na dawa au bidhaa nyingine kuhusu matumizi yake.

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  • Kahigi, K. K. (2007). Ujanibishaji wa Office 2003 na Windows XP kwa Kiswahili Sanifu. Kioo cha Lugha, 5(1).
Makala hii kuhusu mambo ya uchumi bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kipeperushi kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.