Kimberley (Afrika Kusini)

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru


Kimberley
Kimberley is located in Afrika Kusini
Kimberley
Kimberley

Mahali pa mji wa Kimberley katika Afrika Kusini

Majiranukta: 28°44′31″S 24°46′19″E / 28.74194°S 24.77194°E / -28.74194; 24.77194
Nchi Afrika Kusini
Majimbo Rasi Kaskazini
Tovuti:  www.kimberley.co.za
"Big Hole" au "Groot Gat" mjini Kimberley ni shimo kutokana na godi la almasi

Kimberley ni mji wa Afrika Kusini na mji mkuu wa jimbo la Rasi Kaskazini mwenye wakazi 210,000. Chanzo cha mji ni almasi zilizopatikana hapa tangu mwaka 1866. Almasi za kwanza zilipatikana mtoni tu lakini mwaka 1869 zilichimbwa katika udongo. Katika muda wa miezi michache mji mpya ulikua na kuwa na wakazi 30,000 kwa sababu watu walitafuta utajiri wakichimba ardhi ya eneo hili.

Kimberley ilikuwa chanzo cha utajiri wa Cecil Rhodes na kampuni yake ya De Beers. Hadi leo migodo ya almasi ni mgongo wa uti wa uchumi wa mji huu.


Makala hii kuhusu maeneo ya Afrika Kusini bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Kimberley (Afrika Kusini) kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.