Kihehe

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kihehe ni lugha ya Kibantu nchini Tanzania inayozungumzwa na Wahehe. Mwaka wa 2006 idadi ya wasemaji wa Kihehe imehesabiwa kuwa watu 805,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha za Kibantu wa Malcolm Guthrie Kihehe iko katika kundi la G60.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  • Maho, Jouni & Bonny Sands. 2002. The languages of Tanzania: a bibliography. (Orientalia et africana gothoburgensia, no 17.) Göteborg: Acta Universitatis Gothoburgensis. Pp ix, 428. ISBN 91-7346-454-6

Kitabu hiki kinataja marejeo mengine kama:

  • Priebusch, Martin. 1935. Bena-Hehe-Grammatik. Berlin: Kommissionsverlag der Buchhandlung der Berliner Missionsgesellschaft.
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kihehe kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.