Kihamer-Banna

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kihamer-Banna ni lugha ya Kiafrika-Kiasia nchini Ethiopia inayozungumzwa na Wahamer na Wabanna, makabila mawili ambao huzungumza lugha moja. Mwaka wa 2007 idadi ya wasemaji wa Kihamer-Banna imehesabiwa kuwa watu 74,400. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kihamer-Banna iko katika kundi la Kiomotiki.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kihamer-Banna kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.