Kiborloni

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
(Elekezwa kutoka Kiboriloni)


Kata ya Kiborloni
Kata ya Kiborloni is located in Tanzania
Kata ya Kiborloni
Kata ya Kiborloni

Mahali pa Kiborloni katika Tanzania

Majiranukta: 3°20′24″S 37°20′24″E / 3.34000°S 37.34000°E / -3.34000; 37.34000
Nchi Tanzania
Mkoa Kilimanjaro
Wilaya Moshi Mjini
Idadi ya wakazi
 - Wakazi kwa ujumla 9,202

Kiborloni ni kata ya Moshi Mjini katika Mkoa wa Kilimanjaro, Tanzania, yenye postikodi namba 25113.

Wakati wa sensa iliyofanyika mwaka wa 2022, kata ilikuwa na wakazi wapatao 9,202 [1]. Wakati wa sensa iliyofanyika mwaka wa 2012, kata ilikuwa na wakazi wapatao 9,206 [2] walioishi humo. Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mwaka wa 2002, kata ina wakazi wapatao 7,028 waishio humo. [3]

Wananchi wa kata hii wanajishughulisha na biashara ndogondogo kama uuzaji wa mbogamboga na matunda na pia wanajishughulisha na zao la ndizi. Makabila yafuatayo yanapatikana katika kata hiyo: Wachagga, Wapare, na mengineo mengi.

Ndani ya kata hii ya Kiborloni kuna ikulu ndogo ambayo Rais huwa anaitumia kwa ajili ya mapumziko akiwa na ziara katika Mkoa wa Kilimanjaro.

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. https://www.nbs.go.tz
  2. "Sensa ya 2012, Kilimanjaro - Moshi MC". Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2004-01-02. Iliwekwa mnamo 2016-05-23. 
  3. "Ripoti Kuu ya Hesabu ya Sensa ya Watu na Makazi kwa Mwaka wa 2002" (kwa Kiingereza). Serikali ya Tanzania. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2003-12-17. 
Kata za Wilaya ya Moshi Mjini - Mkoa wa Kilimanjaro - Tanzania

Bomambuzi | Bondeni | Kaloleni | Karanga | Kiborloni | Kilimanjaro | Kiusa | Korongoni | Longuo B | Majengo | Mawenzi | Mfumuni | Miembeni | Mji Mpya | Msaranga | Ng'ambo | Njoro | Pasua | Rau | Shirimatunda | Soweto


Makala hii kuhusu maeneo ya Mkoa wa Kilimanjaro bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Kiborloni kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.


Isipokuwa usitaje majina ya viongozi waliopo sasa maana wanabadilika haraka mno.