Kiboga (lugha)

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kiboga ni lugha ya Kiafrika-Kiasia nchini Nigeria inayozungumzwa na Waboga. Mwaka wa 1990 idadi ya wasemaji wa Kiboga imehesabiwa kuwa watu 10,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kiboga iko katika kundi la Kichadiki.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kiboga (lugha) kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.