Kariobangi

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kariobangi ni mtaa fukara wa Nairobi ulio kata ya tarafa ya Kasarani. Iko upande wa mashariki wa Nairobi kati ya Dandora na Huruma. Kuna Kariobangi North na Kariobangi South; nyumba ziko za ghorofa lakini kuna pia maeneo ya mabanda.

Mtaa huu unajulikana sana kwa malori ya kusafirisha vifaa vya ujenzi kama vile changarawe, mawe na kadhalika.