Kanuti IV

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Uuaji wa Mt. Kanuti ulivyochorwa na Christian Albrecht von Benzon, 1843.

Kanuti IV (maarufu kwa Kidani kama "Knud den Hellige", yaani "Kanuti mtakatifu", 1043 - Odense, 10 Julai 1086), alikuwa mfalme wa Udani kuanzia mwaka 1080 hadi siku ya kuuawa.

Pamoja na utakatifu wake, alionyesha bidii kubwa kwa ajili ya ibada na mahitaji ya wakleri pamoja na uimarishaji wa mamlaka yake ndani na nje ya nchi[1].

Baada ya kuanzisha makanisa ya Lund na Odense, aliuawa ndani ya hilo, mbele ya altare, pamoja na watu wengine 8 au 18.

Wananchi walimheshimu mara moja kama mtakatifu, na Papa Paskali II alithibitisha heshima hiyo mwaka 1101.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe ya kifodini chake[2].

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mwanasiasa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kanuti IV kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.