Kaizari Carus

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Shaba inayoonyesha Kaizari Carus

Carus (takriban 230 – Julai/Agosti 283) alikuwa Kaizari wa Dola la Roma kuanzia Oktoba 282 hadi kifo chake.

Alimfuata Probus.

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu Kaizari fulani wa Roma bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kaizari Carus kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.