Joji Limniota

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Joji Limniota (635 - Mlima Olimpo, Bitinia, leo nchini Uturuki, 24 Agosti 730 hivi) alikuwa mmonaki Mkristo tangu ujanani ambaye, alipofikia umri wa miaka 95 aliuawa kwa kukatwa pua na kuchomwa kichwa kwa sababu alimlaumu kaisari Leo III wa Bizanti, adui wa picha takatifu [1].

Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu mfiadini.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 24 Agosti[2].

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.