Jimbo la Afar

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru



አፋር
Jimbo la Afar

Bendera
Mahali paአፋር Jimbo la Afar
Mahali paአፋር
Jimbo la Afar
Mahali pa jimbo la Afar katika Ethiopia
Nchi Bendera ya Ethiopia Ethiopia
Mji mkuu Asayita
Eneo
 - Jumla 96,707 km²
Idadi ya wakazi (2001)
 - Wakazi kwa ujumla 1,389,004

Jimbo la Afar (kwa Kiamhari: አፋር) ni moja ya majimbo 12 ya kujitawala ya Ethiopia.

Idadi ya wakazi wake ni takriban 1,389,004.

Makao makuu ni Asayita.

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu maeneo ya Ethiopia bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Jimbo la Afar kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.



 
Majimbo ya Ethiopia
Bandera ya Ethiopia
Addis Abeba | Afar | Amhara | Benishangul-Gumuz | Dire Dawa | Gambela | Harar | Oromia | Sidama | Somali | Mataifa ya Kusini | Tigray