Jerome Karle

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jerome Karle

Jerome Karle (amezaliwa 18 Juni 1918) alikuwa mwanakemia kutoka nchi ya Marekani. Hasa alichunguza elimu ya fuwele. Mwaka wa 1985, pamoja na Herbert Hauptman alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia.

Makala hii kuhusu mshindi wa Tuzo ya Nobel bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Jerome Karle kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.