Howard Lindsay

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Howard Lindsay (29 Machi 188911 Februari 1968) alikuwa mwandishi kutoka nchi ya Marekani. Jina lake la kuzaliwa lilikuwa Herman Nelke. Mwaka wa 1946, pamoja na Russel Crouse, Lindsay alipokea Tuzo ya Pulitzer ya Tamthiliya kwa tamthiliya yao State of the Union.

Makala hii kuhusu mwandishi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Howard Lindsay kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.