Horace Mann

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Picha ya Horace Mann.

Horace Mann (4 Mei 1796 - 1859) alikuwa mtaalamu wa elimu na mwanasiasa wa Whig huko Marekani. Alijitolea kuendeleza elimu ya umma.

Mandhari kuu ya maisha yake ni kwamba]ni sheria ya asili kwetu kutaka furaha.

Alihudumu katika bunge la Jimbo la Massachusetts miaka 1827-1837.

Mnamo 1848, baada ya huduma ya umma kama Katibu wa bodi ya Elimu ya Jimbo la Massachusetts, Mann alichaguliwa kwa Baraza la Wawakilishi la Marekani.

Kuanzia Septemba 1852 hadi kifo chake mwaka 1859, alihudumu kama Rais wa Chuo cha Antiokia.

Makala hii kuhusu mwanasiasa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Horace Mann kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.