Hilarión Daza

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Hilarión Daza

Hilarión Daza Groselle (14 Januari 1840 - 27 Februari 1894) alikuwa Rais wa Bolivia kuanzia tarehe 4 Mei 1876 hadi 28 Desemba 1879 alipofukuzwa kutoka utawala na kufuatwa na Narciso Campero. Daza mwenyewe alihamia Ufaransa, na alipojaribu kurudi Bolivia mwaka wa 1894 akauawa kwenye kituo cha treni mjini Uyuni moja kwa moja.

Makala hii kuhusu mwanasiasa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Hilarión Daza kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.