Heizei wa Japani

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Heizei (7734 Agosti, 824) alikuwa mfalme mkuu wa 51 (Tenno) wa Japani. Jina lake la kuzaliwa lilikuwa Ate, na alikuwa mwana wa kwanza wa Tenno Kanmu. Mwaka wa 806 alimfuata babake, na kuwa mfalme hadi kujiuzulu mwaka wa 809. Aliyemfuata kama Tenno ni mdogo wake, Saga.

Angalia pia[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu Kaizari fulani wa Japani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Heizei wa Japani kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.