Go-Shirakawa wa Japani

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Mchoro wa Go-Shirakawa

Go-Shirakawa (18 Oktoba, 112726 Aprili, 1192) alikuwa mfalme mkuu wa 77 (Tenno) wa Japani. Jina lake la kuzaliwa lilikuwa Masahito, na alikuwa mwana wa nne wa Tenno Toba. Mwaka wa 1155 alimfuata kaka yake, Tenno Konoe, na kuwa mfalme hadi kujiuzulu mwaka wa 1158. Aliyemfuata kama Tenno ni mwana wake Nijo, lakini Go-Shirakawa akaendelea kuathiri utawala hadi kifo chake mwaka wa 1192.

Angalia pia[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu Kaizari fulani wa Japani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Go-Shirakawa wa Japani kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.