George Malima Lubeleje

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

George Malima Lubeleje (amezaliwa tar. 12 Februari 1950) ni mbunge wa jimbo la Mpwapwa katika bunge la kitaifa huko nchini Tanzania.[1] Anatokea katika chama cha CCM.

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. "Mengi kuhusu George Malima Lubeleje". 13 Julai 2006. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2011-10-18. Iliwekwa mnamo 11 Novemba 2011. 

Viungo vya nnje[hariri | hariri chanzo]