Fizi

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Fizi ni wilaya ya kusini ya mkoa wa Kivu Kusini. Wilaya hiyo inajulikana sana ikiwa ni sehemu ambayo rais Joseph Kabila alizaliwa. Ndipo palipoanza kundi la Mai-Mai.

Lugha ya watu wa Fizi ni Kibembe (Ébembe).

Makala hii kuhusu eneo fulani bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu eneo hilo kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Je, unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.


Usitaje majina ya madiwani na viongozi au maafisa wengine wa sasa maana wanabadilika haraka mno.