Federal Capital Territory, Nigeria

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Eneo la Shirikisho la Mji Mkuu nchini Nigeria

Federal Capital Territory ni eneo la mji wa Abuja, mji mkuu wa Nigeria.

Ilianzishwa mwaka wa 1976 kutokana na maeneo ya zamani ya Nasarawa, Niger, na Jimbo la Kogi.

Ipo katikati ya kanda ya nchi.

Kisheria ni tofauti kidogo na majimbo mengine ya Nigeria, ambayo yanaongozwa na Magavana waliochaguliwa, kumbe Eneo la Mji Mkuu wa Muungano na Utawala linaongozwa na waziri aliyechaguliwa na Rais.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]


 
Majimbo ya Nigeria
Abia | Abuja Federal Capital Territory | Adamawa | Akwa Ibom | Anambra | Bauchi | Bayelsa | Benue | Borno | Cross River | Delta | Ebonyi | Edo | Ekiti | Enugu | Gombe | Imo | Jigawa | Kaduna | Kano | Katsina | Kebbi | Kogi | Kwara | Lagos | Nasarawa | Niger | Ogun | Ondo | Osun | Oyo | Plateau | Rivers | Sokoto | Taraba | Yobe | Zamfara
Makala hii kuhusu maeneo ya Nigeria bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Federal Capital Territory, Nigeria kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.