Falsafa ya kidini

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Augustino wa Hippo alivyochorwa na Philippe de Champaigne (karne ya 17). Falsafa ya askofu huyo mwenye akili kubwa ajabu iliathiri sana Ukristo wa magharibi na ustaarabu wote uliotokana nao.

Falsafa ya dini ni falsafa inayofikiri na inayohamasisha watu kwa kuongozwa na imani ya dini fulani.

Inaweza kufanyika kwa kuzingatia ukweli unavyojulikana na akili, lakini pia inaweza kufanyika kama chombo cha kushawishi watu waamini katika imani hiyo.

Kuna falsafa tofauti kwa kila dini kama vile:

Ni tofauti na falsafa ya dini inayochunguza dini zote jumla kwa mbinu za falsafa bila kutegemea imani yoyote.

Makala hii kuhusu mambo ya dini bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu mada hii kama historia yake au uenezi wake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.