Ekari

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Ekari (kwa Kiingereza: acre) ni kipimo cha eneo cha Kiingereza kinachotumiwa pia Marekani na bado kuwa kawaida katika nchi zilizokuwa koloni za Uingereza. Kwa kawaida hutumiwa kutaja maeneo ya ardhi, mashamba na viwanda.

  • Ufafanuzi rasmi ni yadi za mraba 4,840.
  • Kwa kipimo sanifu inalingana na mita za mraba 4,046.8564224 au hektari 0.404686.
  • Ekari rasmi ya Marekani ni mita za mraba 4,046.87261 .au sentimita za mraba 404687.3

Asili ya istilahi ni neno la Kiingereza linalomaanisha shamba linaloweza kulimwa kwa siku ukitumia plau na maksai.

Viungo vya Nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya utamaduni bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Ekari kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.