Donald Cram

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
chembe chembe ya nitrobenzene iliyoripotiwa na Cram pamoja na kundi lake

Donald James Cram (22 Aprili 191917 Juni 2001) alikuwa mwanakemia kutoka nchi ya Marekani. Hasa anajulikana kwa kugundua Kanuni ya Cram. Mwaka wa 1987, pamoja na Jean-Marie Lehn na Charles Pedersen alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia.

Makala hii kuhusu mshindi wa Tuzo ya Nobel bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Donald Cram kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.